Mk. 9:12 SUV

12 Akajibu akawaambia, Ni kweli Eliya yuaja kwanza, na kurejeza upya yote; lakini, pamoja na haya, ameandikiwaje Mwana wa Adamu ya kwamba atateswa mengi na kudharauliwa?

Kusoma sura kamili Mk. 9

Mtazamo Mk. 9:12 katika mazingira