Mk. 9:2 SUV

2 Hata baada ya siku sita Yesu akawatwaa Petro, na Yakobo, na Yohana, akawaleta juu ya mlima mrefu faraghani, peke yao; akageuka sura yake mbele yao;

Kusoma sura kamili Mk. 9

Mtazamo Mk. 9:2 katika mazingira