Mk. 9:31 SUV

31 Kwa sababu alikuwa akiwafundisha wanafunzi wake, akawaambia, Mwana wa Adamu yuaenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua; hata akiisha kuuawa, baada ya siku tatu atafufuka.

Kusoma sura kamili Mk. 9

Mtazamo Mk. 9:31 katika mazingira