Mk. 9:38 SUV

38 Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.

Kusoma sura kamili Mk. 9

Mtazamo Mk. 9:38 katika mazingira