Ufu. 1:16 SUV

16 Naye alikuwa na nyota saba katika mkono wake wa kuume; na upanga mkali, wenye makali kuwili, ukitoka katika kinywa chake; na uso wake kama jua liking’aa kwa nguvu zake.

Kusoma sura kamili Ufu. 1

Mtazamo Ufu. 1:16 katika mazingira