Ufu. 1:17 SUV

17 Nami nilipomwona, nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,

Kusoma sura kamili Ufu. 1

Mtazamo Ufu. 1:17 katika mazingira