Ufu. 1:20 SUV

20 Siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume, na ya vile vinara saba vya dhahabu. Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba; na vile vinara saba ni makanisa saba.

Kusoma sura kamili Ufu. 1

Mtazamo Ufu. 1:20 katika mazingira