Ufu. 2:10 SUV

10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.

Kusoma sura kamili Ufu. 2

Mtazamo Ufu. 2:10 katika mazingira