Ufu. 2:9 SUV

9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Kusoma sura kamili Ufu. 2

Mtazamo Ufu. 2:9 katika mazingira