Ufu. 2:13 SUV

13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.

Kusoma sura kamili Ufu. 2

Mtazamo Ufu. 2:13 katika mazingira