Ufu. 6:10 SUV

10 Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, Mwenye kweli, hata lini kutokuhukumu, wala kuipatia haki damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?

Kusoma sura kamili Ufu. 6

Mtazamo Ufu. 6:10 katika mazingira