11 Nao wakapewa kila mmoja nguo ndefu, nyeupe, wakaambiwa wastarehe bado muda mchache, hata itakapotimia hesabu ya wajoli wao na ndugu zao, watakaouawa vile vile kama wao.
Kusoma sura kamili Ufu. 6
Mtazamo Ufu. 6:11 katika mazingira