Ufu. 6:15 SUV

15 Na wafalme wa dunia, na wakuu, na majemadari, na matajiri, na wenye nguvu, na kila mtumwa, na mwungwana, wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima,

Kusoma sura kamili Ufu. 6

Mtazamo Ufu. 6:15 katika mazingira