Ufu. 6:16 SUV

16 wakiiambia milima na miamba, Tuangukieni, tusitirini, mbele za uso wake yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na hasira ya Mwana-Kondoo.

Kusoma sura kamili Ufu. 6

Mtazamo Ufu. 6:16 katika mazingira