23 Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.
Kusoma sura kamili Yak. 2
Mtazamo Yak. 2:23 katika mazingira