Yak. 2:25 SUV

25 Vivyo hivyo na Rahabu, yule kahaba naye, je! Hakuhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo, hapo alipowakaribisha wajumbe, akawatoa nje kwa njia nyingine?

Kusoma sura kamili Yak. 2

Mtazamo Yak. 2:25 katika mazingira