Yak. 3:17 SUV

17 Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki.

Kusoma sura kamili Yak. 3

Mtazamo Yak. 3:17 katika mazingira