Yak. 3:2 SUV

2 Maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi. Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu.

Kusoma sura kamili Yak. 3

Mtazamo Yak. 3:2 katika mazingira