Yak. 5:11 SUV

11 Angalieni, twawaita heri wao waliosubiri. Mmesikia habari ya subira yake Ayubu, mmeuona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwingi wa rehema, mwenye huruma.

Kusoma sura kamili Yak. 5

Mtazamo Yak. 5:11 katika mazingira