Yn. 12:35 SUV

35 Basi Yesu akawaambia, Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo. Enendeni maadamu mnayo nuru hiyo, giza lisije likawaweza; maana aendaye gizani hajui aendako.

Kusoma sura kamili Yn. 12

Mtazamo Yn. 12:35 katika mazingira