36 Maadamu mnayo nuru, iaminini nuru hiyo, ili mpate kuwa wana wa nuru.Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.
Kusoma sura kamili Yn. 12
Mtazamo Yn. 12:36 katika mazingira