Yn. 15:15 SUV

15 Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.

Kusoma sura kamili Yn. 15

Mtazamo Yn. 15:15 katika mazingira