Yn. 15:16 SUV

16 Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.

Kusoma sura kamili Yn. 15

Mtazamo Yn. 15:16 katika mazingira