Yn. 15:19 SUV

19 Kama mngekuwa wa ulimwengu, ulimwengu ungewapenda walio wake; lakini kwa kuwa ninyi si wa ulimwengu, bali mimi naliwachagua katika ulimwengu, kwa sababu hiyo ulimwengu huwachukia.

Kusoma sura kamili Yn. 15

Mtazamo Yn. 15:19 katika mazingira