Yn. 15:20 SUV

20 Likumbukeni lile neno nililowaambia, Mtumwa si mkubwa kuliko bwana wake. Ikiwa waliniudhi mimi, watawaudhi ninyi; ikiwa walilishika neno langu watalishika na lenu.

Kusoma sura kamili Yn. 15

Mtazamo Yn. 15:20 katika mazingira