Yn. 16:33 SUV

33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.

Kusoma sura kamili Yn. 16

Mtazamo Yn. 16:33 katika mazingira