Yn. 17:1 SUV

1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;

Kusoma sura kamili Yn. 17

Mtazamo Yn. 17:1 katika mazingira