Yn. 17:11 SUV

11 Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.

Kusoma sura kamili Yn. 17

Mtazamo Yn. 17:11 katika mazingira