Yn. 17:12 SUV

12 Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.

Kusoma sura kamili Yn. 17

Mtazamo Yn. 17:12 katika mazingira