Yn. 17:26 SUV

26 Nami naliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.

Kusoma sura kamili Yn. 17

Mtazamo Yn. 17:26 katika mazingira