Yn. 18:1 SUV

1 Alipokwisha kusema hayo, Yesu alitoka pamoja na wanafunzi wake kwenda ng’ambo ya kijito Kedroni, palipokuwapo bustani; akaingia yeye na wanafunzi wake.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:1 katika mazingira