Yn. 18:17 SUV

17 Basi yule kijakazi, aliyekuwa mngoja mlango, akamwambia Petro, Wewe nawe, je! Hu mwanafunzi mmojawapo wa mtu huyu? Naye akasema, Si mimi.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:17 katika mazingira