Yn. 18:18 SUV

18 Na wale watumwa na watumishi walikuwa wakisimama, wamefanya moto wa makaa; maana ilikuwa baridi; wakawa wakikota moto. Petro naye alikuwapo pamoja nao, anakota moto.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:18 katika mazingira