Yn. 19:11 SUV

11 Yesu akamjibu, Wewe hungekuwa na mamlaka yo yote juu yangu, kama usingepewa kutoka juu; kwa hiyo yeye aliyenitia mikononi mwako yuna dhambi iliyo kubwa zaidi.

Kusoma sura kamili Yn. 19

Mtazamo Yn. 19:11 katika mazingira