Yn. 19:12 SUV

12 Na tangu hapo Pilato akatafuta kumfungua; lakini Wayahudi wakapiga makelele wakisema, Ukimfungua huyu, wewe si rafiki yake Kaisari; kila mtu ajifanyaye kuwa mfalme humfitini Kaisari.

Kusoma sura kamili Yn. 19

Mtazamo Yn. 19:12 katika mazingira