Yn. 20:1 SUV

1 Hata siku ya kwanza ya juma Mariamu Magdalene alikwenda kaburini alfajiri, kungali giza bado; akaliona lile jiwe limeondolewa kaburini.

Kusoma sura kamili Yn. 20

Mtazamo Yn. 20:1 katika mazingira