Yn. 20:2 SUV

2 Basi akaenda mbio, akafika kwa Simoni Petro na kwa yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia, Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka.

Kusoma sura kamili Yn. 20

Mtazamo Yn. 20:2 katika mazingira