18 Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.
Kusoma sura kamili Yn. 20
Mtazamo Yn. 20:18 katika mazingira