Yn. 20:19 SUV

19 Ikawa jioni, siku ile ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu.

Kusoma sura kamili Yn. 20

Mtazamo Yn. 20:19 katika mazingira