Yn. 20:25 SUV

25 Basi wanafunzi wengine wakamwambia, Tumemwona Bwana. Akawaambia, Mimi nisipoziona mikononi mwake kovu za misumari, na kutia kidole changu katika mahali pa misumari, na kutia mkono wangu katika ubavu wake, mimi sisadiki hata kidogo.

Kusoma sura kamili Yn. 20

Mtazamo Yn. 20:25 katika mazingira