Yn. 20:26 SUV

26 Basi, baada ya siku nane, wanafunzi wake walikuwamo ndani tena, na Tomaso pamoja nao. Akaja Yesu, na milango imefungwa, akasimama katikati, akasema, Amani iwe kwenu.

Kusoma sura kamili Yn. 20

Mtazamo Yn. 20:26 katika mazingira