Yn. 21:12 SUV

12 Yesu akawaambia, Njoni mfungue kinywa. Wala hakuna mtu katika wale wanafunzi aliyethubutu kumwuliza, U nani wewe? Wakijua ya kuwa ni Bwana.

Kusoma sura kamili Yn. 21

Mtazamo Yn. 21:12 katika mazingira