Yn. 5:24 SUV

24 Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:24 katika mazingira