Yn. 5:25 SUV

25 Amin, amin, nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai.

Kusoma sura kamili Yn. 5

Mtazamo Yn. 5:25 katika mazingira