19 Basi wakamwambia, Yuko wapi Baba yako? Yesu akajibu, Mimi hamnijui, wala Baba yangu hammjui; kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu.
Kusoma sura kamili Yn. 8
Mtazamo Yn. 8:19 katika mazingira