Yn. 8:20 SUV

20 Maneno hayo aliyasema alipokuwa akifundisha hekaluni, katika chumba cha hazina; wala hakuna mtu aliyemkamata, kwa sababu saa yake ilikuwa haijaja bado.

Kusoma sura kamili Yn. 8

Mtazamo Yn. 8:20 katika mazingira