Yn. 9:18 SUV

18 Basi Wayahudi hawakusadiki habari zake, ya kuwa alikuwa kipofu, kisha akapata kuona; hata walipowaita wazazi wake yule aliyepata kuona.

Kusoma sura kamili Yn. 9

Mtazamo Yn. 9:18 katika mazingira