Yn. 9:17 SUV

17 Basi wakamwambia yule kipofu mara ya pili, Wewe wasemaje katika habari zake kwa vile alivyokufumbua macho? Akasema, Ni nabii.

Kusoma sura kamili Yn. 9

Mtazamo Yn. 9:17 katika mazingira