1 Fal. 1:37 SUV

37 Kama vile BWANA alivyokuwa pamoja na bwana wangu mfalme, kadhalika na awe pamoja na Sulemani, na kufanya kiti chake cha enzi kuwa kitukufu kuliko kiti cha enzi cha bwana wangu mfalme Daudi.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:37 katika mazingira