1 Fal. 1:38 SUV

38 Basi wakashuka Sadoki, kuhani, na Nathani, nabii, na Benaya, mwana wa Yehoyada, na Wakerethi, na Wapelethi, wakampandisha Sulemani juu ya nyumbu wa mfalme Daudi, wakampeleka mpaka Gihoni.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 1

Mtazamo 1 Fal. 1:38 katika mazingira